GOSPEL TIME
RAPPORT ANNUEL POUR L’AN 2022
Object : Rapport Annuel Pour L’an 2022
Transmis
copie pour information à
-
Monsieur l’apôtre del’eglise R.P.C.M/BETHSAIDA(UGANDA
KYAKA II)
-
Monsieur le Representant del’Eglise
R.P.C.M/BETHSAIDA(DR CONGO) BUNIA
-
Assembleé generale del’Eglise
R.P.C.M/BETHSAIDA(UGANDA KYAKA II)
Monsieur
le Representant
Que
nous soyons encore autorises devenir aupre devous, Representer cedont l’ Object
est repris en marge
En
effect nous l’Eglise l’Eglise R.P.C.M/BETHSAIDA (UGANDA KYAKA II). Nous sommes
heures de vous metre aucourant de la
manière dont l’anneé 2022 s’est passeé
Veillez
agreéz Monsieur le Representant
L’expression denos sentiment le plus chretiens
Pour l’Eglise R.P.C.M/BETHSAIDA(UGANDA KYAKA II)
Apôtre MARCELIN-BYAMUNGU
Responsable
Le Secreteure Evangeliste
SOLIDE – KABONJO KAHIGO
I.
SHUKURANI
Kanisa la R.P.C.M/ BETHSAIDA
Inashukuru Mungu kwa Ulinzi bora alitulinda tangu tulianza mwaka mpaka mwisho
wa mwaka 2022
II.NAMNA MWAKA ILIVYO PITA
mwaka 2022 ili anza muzuri
le 01/01/2022 na iliendereya muzuri mpaka mwisho le 31/12/2022 tunasema asante
kwa Mungu.
III. WASHIRIKA
Ndani ya mwaka 2022 tulikuwa wiki 52 ya ani siku za
yenga 52 na wiki 52 na siku (181 za Mapambazuko na tuli anza mwaka na washirika
134 na waKristo 40 wakubwa na wadogo, Lakini kanisa ilizidi kuongezeka tulimaliza
mwaka na washirika 198 na wa Kristo 70 ambao wanashiriki meza ya Bwana
Na hii yote ilisababishwa
na :
Kutembereya washirika na
kuwaombea na hii ilikuwa kazi ya Watumishi wa Kanisa .
Maombi na Mafundisho
iliyotolewa kanisasani haya ya lileta ongezeko kwa Kanisa tunasema asante kwa
Mungu
IV. UBATIZO
Kwa mwaka huu 2022 Kanisa
letu la R.P.C.M/ BETHSAIDA (Uganda) ilibatiza watu (35)
V . WATOTO WALIOMBEWA
Mwaka huu 2022 tulijaliwa neema na Mungu tuliombeya
watoto wengi sana Kumi na Mumoja (11) na hii ilikuwa baraka ndani ya Kanisa.
VI. WALIO FARIKI
Mwaka huu 2022 tulipoteza muKristo mu moja(1) ndani ya
Kanisa, Jina yake ni
MAPENDO CLAUDINNE
VII. WALIO TENGWA
Sisi kanisa la R.P.C.M/ BETHSAIDA hatu na
tabia ya kutenga watu ila kuna watu ine(4) ambao walijitenga na imani
1. NADINE KAHIGO huuyu
alijitenga na imani alibeba mimba
2.
Ange Soleil alijitenga na imani alipenda Dunia
3.
MUSIMIWA MUSULURU HUGUE na Eveline Munazi hawa nao
walijitenga na imani kwa njia ya washerati na wakajipatia ndowa kabisa kujuwa
VIII. WALIOKARIBISHIWA :
Mwaka hii tulikaribisha Familia 3 namtu 1.
1.
Famille Pastor Kibiswa –
KITOGA
2.
Couple Amusi – Murahuka NORBERT
(Famille)
3.
KARUNGI – FLORENCE
4. GENTIL
FAMILLE
IX.
NDOWA
K.T.K Mwaka tulijaliwa neema na Mungu mu miaka mbili
yaku anza kanisa tuli barikiwa na ndowa moja(1) ya EV : WETU SOLIDE – KASONJO KAHIGO PAMOJA NA MUPENZI WAKE NADINE- KYIIHARULA
X. SEMINA
Mwaka huu
tulikuwa na Semina Mbalimbali tuli pata walimu kota kanisa mbalimbali na walimu
yakini letu.
1)
Ev AIMEDO ALIFUNDISHA MANENO 3 INAYO FANYA MTV
2)
ASITOKE KWENYE IKO ATUFUNDISHA KAMA KIBURI NIKABURI
3)
APOTRE MARCELIN : ALITUFUNDI KUTOKA AKATUFUNDISHA
KAMA KUNA WATU WALISEMA WAMETOKA KUMBE HAWA KUTOKA.
4)
EV GEDEON ALITUFUNDISHA JUYAMEZA YA BWANA JOSUE TOKA
CONGO USHINDI – BYAMUNGU FAUSTIN KUTOKA
KIGALI, JOOSUE TOKA SWESWE., MULUME TOKA CONGO
CHRISTIAN JACQUE.
NATULIPOKEA MAFUNDISHO MBALIMBALI YA BATUMISHI
WAKANISA LETU.
-
-
-
-
X.
LA LOGISTIQUE DEL’EGLISE
Kanisa la R.P.C.M BETHSAIDA INA VUTU
VIFATAVYO
-
VITI : 123 CHAISE PLASTIKE + 2 BANCH
-
1 SYNTE MOJA (1)
-
BAFLE MBILI (2)
-
MICROPHONE(7)
-
MIXER YA 12 PISTE MOJA (1)
-
BACHES INE(4)
-
MIRAGO…
-
NGOMA
-
NAVIKAPO INE (4) VYASADAKA
XI. MIRADI AMBAYO ILIFANYIKA HII MWAKA 2022
Mwaka huu wa 2022 tulifanya miradi mingisa
1.
WATUMISHI WAMAHILI WALIOMBEWA Na mwahii kuombea watumishi
Ø
.MAOMBIZI 1 :025.500 kulipoke waalikwa
mbalimbali
Ø
.Apotre 1 kamaxile
Apotre Musoda
Ø
.MA PASTEUR 2 toka Kampala. REPRESANTION
Ø
.WA INGILISTI 8 Titoka
Congo, Nakazalika.
Ø
. MA SEMASE 4
2.
Tukaenderesha magengo yakinisa
3.
Tuka ongeza kiwanja ya kinisa
4.
Tuka nunua Mazabau = 700.000 sh
5.
Tuka nunua vyombo. , Vyombo vya
musique
A-Mixer ya
12 piste
B-SYNTE
C-TUKAFANYA SEVING
D-GROUPN.1.
_ TULITIA
BIYO KUMADIRISHA = 115.000
E- BAFLE 2
NAMAFICHES
F-
MICROPHONE 7
6.
VITI
63X25.000=1575000SH\
7.
INSTALATION MUKANISA NA Cable yama
intrimant
8.
Goma 2 BACHE 2 NA MIRAGO YAMAOMBI,
BALIMBALI
9.
Document na cche ya kinisa ao
statut na document naibi byote tulitumikisha pesa…
Ø
Pesa ambazo litumika kwa
Miradihii.
XII. SADAKA
Mwaka huu kanisa ili ingiza sadaka
shiling. 1,341,200
Moja ya kumi : 894.500 sh
Mapambazuko : 168.800
Maombi . 690.500 sh
Total General ya Sadaka
Michango mbalimbali : 6,244,800sh
DEPENSE :
TOTAL GENERAL SADAKA ZOTE NA MICHANGO
Ø 9,339,800\
XIII. TUNA DEPARTEMENT 12
NDANI YA KANISA.
1.
Evangelisation : Inaongozwa na Apotre Marcelin Ngaji
Bimuchu
2.
Intercesion inaongozwa na NOEL (NABII)
3.
WAMAMA ANGELIQUE Evangeliste
4.
WABABA CHIHUGUYU
5. Vijana Ev. Gedeon
6. ECODIME : EV ALBERT
7. ECONOMIE : EV ESTHER
8. DEVELOPPMENT : EV ERICK
9. SECRETARIAT EV SOLIDE
10. CENTRALISATION EV :
GEDEON
11. DIACONI : Diacre Fiston
12. Nyimbo na miziki PASTOR SAMWELI
·
NA WATUMISHI WALIONGEZEKA KA WALE AMBAO WANAOMBEWA NA
WENYE HAWAOMBEWE
1. Pateur – Kibiswa – Kitoga –
Anaombewa
2. EV GENTIL Anaombewa
3. AMISI-MURAHUKO HAOMBEWO
MUHUDUMU
·
NA CHOIR ZIKAONGEZEKA
1. Choir Linda Okovu ya wamama
XIV.
DENI
KANISA HAINA DENI YOYO ILE
XV. SHUKRANI
·
Tunamushukuru Mungu kwa ulinzi alitulinda tangu mwanzo
wamwaka mpaka mwisho wa mwaka 2022.
·
Tunashukuru Apotre Mutume wamaono hii ya Bethsaida kwa
ushirika kiroho na kimwili na kimashauri nakutowa mali na muda kikanisa
lifikiye mwaka muzuri
·
Tuna shu watumishi kwa kazi walio ifanya kwa mwaka huu
·
Tunashukuru waombezi kwa kutowa muda wenu kwa kuombeya
kanisa.
·
Tunashukuru viongozi wa vikundi mbalimbali kwa maendeleo
yaKanisa.
·
Tunashukuru waKristo wato kwa jitowa nakutowa mali zenu
nakujitowa kwazi ili kanisa endeleye mwaka huu
·
Nyote mungu awabariki
WALIOTIYA
MIKONO
1) APOTRE MARCELIN – BYAMUNGU
(MUCHUNGAJI)
2) PASTOR – KITOGA – KIBISWA
3) PASTOR – SAMWEL – MUHAMBA
4) DECENTRE EV GEDEON – KAHATWA
5)
SECRETEUR EV SOLIDE – KABONJO – KAHIGO.
ENSEMBLE
GENERAL POUR L’AN 2022
ORDE DU JOUR
Q. MAOMBI
I.
Tujitambulisha
II.
NENO : APOTRE MARCELIN – B.
TULISOMA KTK 1yohana 1 :7
THEME : Matokeyo ya Ushirika
Wafilipi 3 :10
1 Watesalonike 4 :18.
III.
MAULIZO MBALIMBALI JU YAMAVALIO NA CHOR
IV.
![]()
Tumepanga kama watoto wamiaka
12 17 Watakuwa na choir
yabo nakiongozi waboni AGAPE ,Mwenya Atazalaka hata kama haya INEZA MIAKA
KUMINA 17.
LAGRANCE INABAKIA CHORAL CENTRAL
MUIMBAJI ASIKUYE
MUREPETITION NA PANTALON BAFILLE BOTE JIPE WALA VIKWEMBE KAMABARAZA HAI
MUKUBALI HATAPOKELEWA MUTU YEYE YOTE AMBAE ATA INGIYA MU CHOIR. MANAKE ATAMBEYA
MUSHURTI YA WAIMBAJI.
WAIMBAJI
MULITEMBEA MUBAYA MAVALIO NA KIPINDI YA KUSIFU KA KUABUDU NA KUCHEZACHEZA.
Ø Tutatiya mutafri wa Kitorona
kinye Rwanda mwwiki mbili(2) kila mwezi
V. UBATIZO
Hatupendi kubatiza bila mafundisho hatupendi
kubazanikisha watu ba anguka . Wote ambao waliwabatizwa watafundiswa mwezi moja
na Ev Solide.
VI.
TARATIBU YAKUKARIBISHA WAMUNGU KANISA
Mwaka iliyopipita kuli kuwa hara kukaribisha
watumishi.
Mwaka hii mbele yakukaribisha mutumishi amalize miezi
sita (6 mois) bila kuongoza ibada
VII. KUHESHIMU MUDA
Kuhusu mapambazuko Mapambazuko ita anza 06h30-
07h30
VIII. MUTUMISHI HASITA ILI
KUJIKOPESA SHA PESA ZA KANISA.
Akijikopesha bila oda yakanisa utalipa faida ya 10%
muwiki moja
IX.
MUTUMISHI YEYE YOTE AKITAKA TOKA MUKANISA AENDE NA JAMAA YAKE
Akienda akibeba washirika ata azibiwa na kanisa
naserekali
Mutumishi akishoka kutumika aikale kwake najamaa yake
WALIOSHIRIKI
1) APOTRE MARCELIN
2) KITOGA – KIBISWA PASTOR
3) PASTOR SAMWELI – MUHAMBA
4) PASTOR POLEPOLE – BIFUKO
SISI KANISA R.P.C.M/ BETHSAIDA
MOTIF : MUTUMISHI HUU ALITENGWA
NA IMANI KWASABUBA ALIZOWEYA KULALA NAWAIMBAJI
Kwenyu Baraza la ka……………………………………………………
Tunawasalimu sisi kanisa la R.P.C.M/ BETHSAIDA KYAKA II
Bukere B tuna mutambuwa mutumishi hugue kama EV AMBAE
AMEOMBEWA A LAKINI KULINGA NATABIYA
ZAKAZA MUBAZA KUFANYA KILA MUIMBA MUKE WAKE TUMEMUTE GA NA IMANI Asipokelewa
mahali poke lewe tumemutegana imani asipokelewa mahali poke lewe kwa hududuma
yoyote KTK KANISA WANA KU BALI YESU KRISTO KU WABWANA MOKOZIWA KABLA HAJA
RUDISHI WANAKANISA. AKSANI
Sisi baraza la KANISA R.P.C.M/ BETHSAIDA/ UGANDA/ KYAKA
II/BUKERE B.
Apotre MARCELIN BYAMUNGU Tel : 0783070085. Muchungaji
PASTOR KIBISWA – KITOGA
PASTOR SAMWELI – MUHAMBA
Kwabara ya Kanisa …
Sisi Baraza ya KANISA
R.P.C.M/ BETHSAIDA/ UGANDA/ KYEGEGWA DISTRICT /KYAKA II. Tunawasalimu
katika jina la Yesu Kri Bwana na Mokozi wetu.


Comments